Radio DW kupitia idhaa yake maarufu na maridhawa ya Kiswahili, hususan nkatika kipindi maalumu cha "KARIBUNI" kinachorushwa moja kwa moja tokea mjini Bonn,Ujerumani,kitarusha hewani mahojiano na kiongozi wa Ngoma Africa band aka FFU wa Ughaibuni, mwanamuziki kamanda Ras Makunja, ambapo mmoja wa watangazaji mahili wa radio DW atamumuweka hadharani kwa maswali kibao mwanamuziki huyo. Kipindi hicho kitarushwa hewani wikiendi hii. Hivyo usikose kutega sikio na RADIO DEUTCHE WELLE aka wanaovuma kwa kishindo.
Unaweza pia kusikiliza mtandaoni vipindi vya Radio DW
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...