Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. I was wondering about the same... Mgomo umekwisha ndiyo, lakini hakuna hata mmoja anayesema juu ya hao waliokufa kutokana na uzembe huu! Hivi ni haki kweli?!!!

    ReplyDelete
  2. mnh hii kweli kali,dokta kapewa haki yake,vittim wa circumstance je?

    ReplyDelete
  3. Kila mtu anakufa kwa ahadi yake. Wacheni mambo ya utani hayana maana katika mambo ya ahadi ya Mwenye enzi Mungu. Mwenye jukumu ya kuutunza uhai ndio muuwaji. Elfu kumi au Mshahara wa milioni 3 sawasawa na roho ya binadamu basi na sisi tugome tuone madaktari watapata wapi hiyo mishahara. Hawazalishi chochote pale ila ni kutunza uhai wa binadamu na kodi zetu ndio mishahara yao. Sisi tunauchungu kuliko nyinyi wanaharakati mnaokula pesa za wahisani.

    ReplyDelete
  4. Tooooba!!!

    ReplyDelete
  5. Waliokufa ni uzembe wa serikali kutojali maslahi ya watu wake. Serikali inapaswa iwajibishwe.

    ReplyDelete
  6. sasa mnataka madaitari wafanye nini kama watu wamekufa? hawawana uwezo wa kuwafufua kaeni kimya, kufa kufaana!

    ReplyDelete
  7. Na nyie wachora cartoon hamna dogo madaktari hawajauwa mtu yeyote acheni mbwembwe zenu. Namuunga mkono Annonymous hapo juu. Kama kufa umepangia ni utakufa tu mgomo ama bila mgomo. Get a life.

    ReplyDelete
  8. tuwe wakweli jamani tuongee kutoka moyoni mahusiano kati ya walikokuwa kwenye mgomo na ndugu waliopoteza/kuguswa na watu waliokufa kutokana na mgomo yakoje

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...