Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw.Rene Meza akiongea na wafanyakazi wa kampuni hiyo kuhusiana na kampeni ya 'Find your Moyo'. Leo ni siku ya kipekee kwa ajili ya kuwahamasisha wafanyakazi wa kampuni hiyo kukusanya fedha kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya kisasa ya akina mama wanaosumbuliwa na tatizo la Obstetric Fistula ili waweze kutibiwa BURE hapa nchini.Kwa kuchangia kwa njia ya M-PESA tafadhali tuma pesa kwenda namba 200500,na kuchangia kwa njia ya SMS tuma ujumbe mfupi usemao MOYO kwenda namba 15599.
Ofisa Mkuu wa masoko na Mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba,akikusanya fedha zilizokuwa zikichangishwa na wafanyakazi wa kampuni hiyo wakati wa kampeni ya kipekee ya 'Find your Moyo” inayohamasisha wafanyakazi wa kampuni hiyo kukusanya fedha kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya kisasa ya akina mama wanaosumbuliwa na tatizo la Obstetric Fistula ili waweze kutibiwa BURE hapa nchini.Kwa kuchangia kwa njia ya M-PESA tafadhali tuma pesa kwenda namba 200500,na kuchangia kwa njia ya SMS tuma ujumbe mfupi usemao MOYO kwenda namba 15599.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw.Rene Meza akicheza muziki na Judith Kirimba ambae ni mfanyakazi wa kampuni hiyo kwa ajili ya kuhamasisha wafanyakazi wa kampuni hiyo kuhusiana na kampeni ya 'Find your Moyo'.Kwa ajili ya kuwahamasisha wafanyakazi wa kampuni hiyo kukusanya fedha kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya kisasa ya akina mama wanaosumbuliwa na tatizo la Obstetric Fistula ili waweze kutibiwa BURE hapa nchini.Kwa kuchangia kwa njia ya M-PESA tafadhali tuma pesa kwenda namba 200500,na kuchangia kwa njia ya SMS tuma ujumbe mfupi usemao MOYO kwenda namba 15599.
Mkuu wa kitengo cha Raslimali watu wa Kimataifa wa Vodacom Hein Bisschoff kulia akicheza muziki na Mkuu wa kitengo cha huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania Bi.Najenjwa Mbagga kwa ajili ya kuhamasisha wafanyakazi wa kampuni hiyo kuhusiana na kampeni ya 'Find your Moyo'.Kwa ajili ya kuwahamasisha wafanyakazi wa kampuni hiyo kukusanya fedha kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya kisasa ya akina mama wanaosumbuliwa na tatizo la Obstetric Fistula ili waweze kutibiwa BURE hapa nchini.Kwa kuchangia kwa njia ya M-PESA tafadhali tuma pesa kwenda namba 200500,na kuchangia kwa njia ya SMS tuma ujumbe mfupi usemao MOYO kwenda namba 15599.
Mkurugenzi wa Fedha wa Vodacom Tanzania Bw.Christopher Fawcett akicheza muziki na Mkuu wa kitengo cha matangazo wa kampuni hiyo Joseline Kamuhanda katika kampeni ya 'Find your Moyo'.Kwa ajili ya kuwahamasisha wafanyakazi wa kampuni hiyo kukusanya fedha kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya kisasa ya akina mama wanaosumbuliwa na tatizo la Obstetric Fistula ili waweze kutibiwa BURE hapa nchini.Kwa kuchangia kwa njia ya M-PESA tafadhali tuma pesa kwenda namba 200500,na kuchangia kwa njia ya SMS tuma ujumbe mfupi usemao MOYO kwenda namba 15599.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakitayarisha vyakula mbalimbali waweze kuuza kwa wafanyakazi wenzao katika kampeni ya 'Find your Moyo'.Kwa ajili ya kuwahamasisha wafanyakazi wa kampuni hiyo kukusanya fedha kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya kisasa ya akina mama wanaosumbuliwa na tatizo la Obstetric Fistula ili waweze kutibiwa BURE hapa nchini.Kwa kuchangia kwa njia ya M-PESA tafadhali tuma pesa kwenda namba 200500,na kuchangia kwa njia ya SMS tuma ujumbe mfupi usemao MOYO kwenda namba 15599.
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakibadilishana mawazo wakati wa kampeni ya 'Find your Moyo'.inayohamasisha wafanyakazi wa kampuni hiyo kukusanya fedha kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya kisasa ya akina mama wanaosumbuliwa na tatizo la Obstetric Fistula ili waweze kutibiwa BURE hapa nchini.Kwa kuchangia kwa njia ya M-PESA tafadhali tuma pesa kwenda namba 200500,na kuchangia kwa njia ya SMS tuma ujumbe mfupi usemao MOYO kwenda namba 15599.
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakipozi kwa picha wakati wa kampeni ya 'Find your Moyo”kwa ajili ya kuwahamasisha wafanyakazi wa kampuni hiyo kukusanya fedha kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya kisasa ya akina mama wanaosumbuliwa na tatizo la Obstetric Fistula ili waweze kutibiwa BURE hapa nchini.Kwa kuchangia kwa njia ya M-PESA tafadhali tuma pesa kwenda namba 200500,na kuchangia kwa njia ya SMS tuma ujumbe mfupi usemao MOYO kwenda namba 15599.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakimsikiliza Mkurugenzi wao alipokuwa anaongea kuhusiana na kampeni ya 'Find your Moyo'. Leo ni siku ya kipekee kwa ajili ya kuwahamasisha wafanyakazi wa kampuni hiyo kukusanya fedha kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya kisasa ya akina mama wanaosumbuliwa na tatizo la Obstetric Fistula ili waweze kutibiwa BURE hapa nchini.Kwa kuchangia kwa njia ya M-PESA tafadhali tuma pesa kwenda namba 200500,na kuchangia kwa njia ya SMS tuma ujumbe mfupi usemao MOYO kwenda namba 15599.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Mdau Ester aka Mama Elsa/Elna hapo wamekufikisha kwenye kitengo chako kabisa cha nyama choma. Hongereni kwa kufaidi and Happy Valentines Day

    Mdau - ughaibuni

    ReplyDelete
  2. Kaka,

    KWAITO ilikuwepo?

    Tehe teh tee!

    ReplyDelete
  3. Michuzi usije ukabania comment za watu hasa juu ya picha No 5 toka juu. nazisubiri hasa wabeba box wakiamka

    Observer

    ReplyDelete
  4. Hivi Tanzania hatujawa na watu wenye uwezo wa kuwa wakurugenzi? Mimi siamini kila mkurugenzi ni mzungu! I hate this.
    Mbona kuna jamaa mmoja alitoka hapa TZ akiwa kawaida tu na kwenda Uganda na chini ya miaka mitatu tu jamaa aliukwaa Ukurugenzi wa Operations kwa kampuni kubwa ya kimataifa ya simu.
    Watanzania tunaminywa na ubinafsi wetu kutopeana support. Hawa watu hawana haki ya kuchukua nafasi zote za juu huku sisi tukibaki tusiokuwa na nafasi nzuri. Ukiwauliza watasema watanzania hatujitumi kumbe ni vita ambavyo hupandikizwa kwa watu kwa maslahi binafsi. Ila naamini tuna watu wenye uwezo mkubwa sana wa kushika hizo nafasi na itafika siku kama hawatapewa hawa wazungu wataomba hata urais.

    Uncle najua ni wadhamini wako lakini hii usiiweke kapuni kwani ni mawazo ya mdau! Hivi itakuwa ni mchango wako na wewe kuelekea kudai mabadiliko ya sera ya wafanyakazi wa kigeni ambayo inaonekana kutosimamiwa kiasi kwamba hata madereva na wachimba mitaro kwenye kampuni nyingine ni wageni huku mtaani vijana wetu wakikosa cha kufanya na kukaba wanaotafuta kihalali!

    ReplyDelete
  5. hizi charity mbona zimepamba moto san bongo is some kind of business am? just asking, maanake kila kona charity!

    ReplyDelete
  6. charity ndio deal za watu. Akili yako hapa mujini.

    ReplyDelete
  7. Kasheshe, huyo Joseline Kamuhanda kuchenza muziki hivyo na huyo mzungu, atakuwa hajaolewa na mtz, kama kaolewa ndoa yake lazima itapata msukosuko unless kama kaolewa na huyo mzungu.

    ReplyDelete
  8. Tax exemptions pia. Shangaa Vodacom ina wateja zaidi ya Airtel lakini Airtel wanalipa kodi zaidi ya Vodacom

    ReplyDelete
  9. mwamvita vivazi vyako utata roho yangu mkononi

    ReplyDelete
  10. Hiyo picha ya tano du! Mdada kazama kabisa kwa mzungu! Wazungu wanapenda sana dada zetu wa kiafrika.

    ReplyDelete
  11. hah kuna aa kitu kimechomoza huyo muzungu no.5 karibu na kifua cha dadetu tehe nini hicho utata mie mwenzenu..!!

    ReplyDelete
  12. acheni mambo ya ukabila. kama mzungu kapata kazi halali yake. kuna weusi pia wanapata kazi za ukurugenzi nchi za ugenini. ni vyeti na elimu yako inayoambatana na ufanisi mkubwa wa kazi. majungu tuuuuuuuuu. kula vidonge ufe

    ReplyDelete
  13. acheni mambo ya ukabila. kama mzungu kapata kazi halali yake. kuna weusi pia wanapata kazi za ukurugenzi nchi za ugenini. ni vyeti na elimu yako inayoambatana na ufanisi mkubwa wa kazi. majungu tuuuuuuuuu. kula vidonge ufe

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...