Kwa muda wowote, wakati wowote  kwa raha na nafasi yako ni Kebby's hotel iliopo New Bagamoyo Road,maeneo ya Bamaga. 
Tel: +255 22 2774094

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Woooh this is wondfuly, thank Brother Michuzi, twapata dizine humu humu. i like the bathroom, kila kitu to the point.

    ReplyDelete
  2. nimeipenda hii

    ReplyDelete
  3. nauliza hivi hicho kama kimeza/stuli kirefu nyuma ya kitanda kinaitwa nini na kazi yake nini ama ni mapambo tu. Aulizae ataka kujua na kufuta ujinga. nisaidieni

    ReplyDelete
  4. tupatieni na rates za vyumba. thanks

    ReplyDelete
  5. wee mdau mbona hivi macho hayaoni mbona hicho kimeza kistuli nyuma ya kitanda sijakiona unajua ukisema nyuma ya kitu una maana gani unajua. acha hizo kuponda ponda tu.
    maanake basi ukichoka unachemka na kimeza kistuli okay

    ReplyDelete
  6. Duh! Mwalimu Nyerere anajigeuza huko kaburini kwake kuona watanzania wanaishi kwa raha hivyo! Hii kali!

    ReplyDelete
  7. Kaka,

    Mie Vitanda vya hivyo ambavyo godoro liko juu, Tendegu la miguuni halijapanda juu huwaga sivipendagi sana.

    Huwa nakosa sehemu ya KUCHOMEKEA MIGUU kwa ajili ya "balance"

    Mmenielewa?

    ReplyDelete
  8. Hicho kama kimeza/stuli kirefu nyuma ya kitanda ni kwa ajili ya 'magic moments'. Hata mimi sijui kinaitwaje!!!

    ReplyDelete
  9. Uwiiii, maraha Duniani,

    Maisha mafupi lakini matamu!

    Hala hala, chonde chonde!

    Kama ni outing tutoke na Familia zetu tujikakamue ingawa ni gharama.

    Jamani haya maraha ya Kebby's yasije yakatuponza tukazitelekeza Familia zetu Wake ,Waume na Watoto wetu tukahamia Mahotelini na MAHAWARA!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...