Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Mwakilishi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) Bibi Tonia Kandiero,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,kujitambulisha kwa Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mwakilishi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) Bibi Tonia Kandiero,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,kujitambulisha kwa Rais.Picha na Ramadhan Othman IKULU.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...