Hi wanajamii mimi nina hoja nataka kuwakilisha kuhusu kumap miji yetu ya Tanzania. Nataka kuwawashirikisha wale wote wanaoweza kujitolea mda wao kuweka sehemu wanazozijua ambazo hazipo kwenye ramani ya tanzania ambayo ipo online kwenye internet. 


Kumap tunatumia google service ambayo ni bure na mtu yeyote anaweza map ilimradi tuu awe na google gmail account. Unaenda tuu kwenye mapmaker au unaweza ukagoogle mapmaker. 


kwenye mapmaker una add to mahali ambapo unapajua kwenye ramani kama ni jengo, hoteli, barabara hata nyumba unaweza wekea boundaries na ukaweka na plot number kama jina ili tuu ramani yetu yaa online na siye iweze kuonyesha vitu. tumeunda kikundi kwenye google + unaweza ukatu add na ukapata habari zaidi kama tukiwa tunakutana siku kwenye kumap kama kikundi kupeana tips na changamoto. Wenye kutaka ufafanuzi zaidi ni tunaweza wasiliana.

Mjomba michuzi natanguliza shukurani
Wale wanaotaka maelezo zaidi jiunge na circle yetu ya 
Mapping Tanzania on google + 
Na tutaeleweshana zaidi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Wazo zuri

    David V

    ReplyDelete
  2. Good job! It starts with me!

    ReplyDelete
  3. Mdau nimefurahi kutoa mada hi kwa lugha yetu sanifu, badala ya kimombo.
    Napenda kuonmgeza kuwa Google, kama ilivyo Facebook, wanazo tovuti za kiswahili.
    wanaotaka kuchangia ramani ya Bongo waende hapa:
    http://maps.google.co.tz/

    ReplyDelete
  4. good initiative, tupo pamoja!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...