Balozi mpya wa Tanzania nchini Ubelgiji Dr.Diodorus Kamala akiongea na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam wakati balozi huyo alipokwenda kumuaga leo asubuhi.
Balozi Mpya wa Tanzania nchini Oman,Mh.Ali Ahmed Saleh akiagana na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi kabla ya kuondoka nchini.(Picha na Freddy Maro).
Hongera sana Mhe. Ali Ahmed Saleh. Tanzania imepata Balozi ambaye nina uhakika kutokana na uzoefu wake wa DUBAI ataweza kuimarisha mahusiano baina ya nchi mbili. Oman na Tanzania zina mengi ya kushirikiana katika sekta za Biashara na uwekezaji,utalii, uvuvi pamoja na utamaduni. Sisi wa Dubai tulichangamshwa sana na uwepo wake hapa na watanzania walishirikiana katika mambo mengi.
ReplyDeleteMabalozi mbona mnaga muda mrefu hivi?
ReplyDeleteAu mnachelewa ili mchukue fomu za kugombea Uongozi nchini?
Imetosha JK ameshawapa majukumu!
Jamani mbona hawa mabalozi kila siku wanaaga tu?hv wanacheleweshwa na nini kwenda maeneo yao ya kazi?
ReplyDelete