HELLO UNCLE MICHUZI HABARI.
NAOMBA UNIWEKEE PICHA ZA SHEREHE YANGU YA KUHITIMU MASTERS IN BUSINESS ADMINISTRATION AT CARDIFF METROPOLITAN UNIVERSITY(CMU) ILIYOFANYIKA 27/FEB/2012, PICHANI NI MIMI PAUL ALEX CHAPA NA MARAFIKI WENGINE KUTOKA NCHI MBALI MBALI, HII ITAWAHAMASISHA WENGINE KUSOMA ZAIDI NA KUFANYA VIZURI KWA LENGO LA KUIENDELEZA NCHI YETU TANZANIA.
AHSANTE SANA.
HONGERA NA AHSANTE SANA MDAU PAUL CHAPA!
ReplyDeleteWajameni tuipe Elimu uzito na sio kujali utafutaji wa Fedha zaidi na mipango ya kimaisha!
Genge la bamia na Dagaa la mtu mwenye Elimu lipo juu, sio sawa na Duka la Mjasiriamali asiyesoma!
Utakuta baada ya Miaka miwili au Mitatu Genge la Msomi limekuwa Grocery au Chain Store likiwa na Matawi kadhaa na KUINGIZA FAIDA ZAIDI, wakati Duka la Mjasiriamali asiye na Elimu (huku akifanya biashara kwa kutegemea Bahati na Ramli nyingi) likiwa liko vile vile HALIKUI NA FAIDA HAIKUI huku yeye akiwa ktk dirisha la Dukani anakuwa kama Picha ya Passport size na hamwamini mtu mwingine akae dukani anaogopa kuibiwa!
MWISHOWE MJASIRIAMALI ASIYE NA ELIMU HUMWITA MFANYA BIASHARA ALIYESOMA AKIWA NA MAFANIKIO YA BIASHARA KUWA CHUMA ULETE AU TAPELI!