Balozi mpya wa Tanzania nchini Ubelgiji Dr.Diodorus Kamala akiongea na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam wakati balozi huyo alipokwenda kumuaga leo asubuhi.
Balozi Mpya wa Tanzania nchini Oman,Mh.Ali Ahmed Saleh akiagana na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi kabla ya kuondoka nchini.(Picha na Freddy Maro).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hongera sana Mhe. Ali Ahmed Saleh. Tanzania imepata Balozi ambaye nina uhakika kutokana na uzoefu wake wa DUBAI ataweza kuimarisha mahusiano baina ya nchi mbili. Oman na Tanzania zina mengi ya kushirikiana katika sekta za Biashara na uwekezaji,utalii, uvuvi pamoja na utamaduni. Sisi wa Dubai tulichangamshwa sana na uwepo wake hapa na watanzania walishirikiana katika mambo mengi.

    ReplyDelete
  2. Mabalozi mbona mnaga muda mrefu hivi?

    Au mnachelewa ili mchukue fomu za kugombea Uongozi nchini?

    Imetosha JK ameshawapa majukumu!

    ReplyDelete
  3. Jamani mbona hawa mabalozi kila siku wanaaga tu?hv wanacheleweshwa na nini kwenda maeneo yao ya kazi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...