Kaka michuzi naomba unipostie haka kagari ka rafiki yangu. Muda wake wa kukaa nchini umekwisha kwahiyo analiuza. Lipo kwenye hali nzuri sana ambayo huwezi kuamini. Lina alarm system,comprehensive insurance,leather seats,halijawahi kugongwa. Bei ni Ths 16,500,000/= tuu
Kwa wanunuzi ambao ni serious wapige simu 0784800899
FATHER UNAPAKI GARI MAKABURINI NINI? ANYWAY,MCHUMA UMETULIA
ReplyDeleteTuwasubiri waosha vinywa waanze kumwaga pumba.
ReplyDeleteNa muuzaji kama yuko serious basi ajue kuuza gari kunahitaji seriuos data, kilometa, mwaka, engine size, mafuta inatumia, service rekofi na bei, sasa yeye kaweka la mwisho!
ReplyDeleteweka size ya engine mafuta inatumia diesel petrol gas au maji?
ReplyDeletemwaka wake na tuwekee picha za ndani tuone kama imetulia mpaka ndani....automatic au kawaida?
unasafiri unaelekea nchi gani kama ughaibuni pande za ulaya nikupe adres ukaniwekee hiyo gari nyumbani kwangu mihela yako utaikuta huku ukifika
njia rahisi kama unahitaji mihela ya huku au ya madafu uwamuzi ni wako.
waosha vinywa lazima ikiwa maelezo ya muuzaji hayajakamilika
ReplyDeletehiyo gari ipo wapi mkoa gani?
Nadhani kwakua muuzaji ameweka namba yake ya simu, basi muhitaji wa kweli atamtafuta na chochote ambacho mnunuzi anataka kukijua kuhusiana na hili gari ataambiwa na wataanzia hapo...
ReplyDeleteNzuri kweli kwa "wawindaji"Ukiwa nayo porini hii lazima wanyama waifuate.Utakula nyama kila siku hadi utachoka!!!
ReplyDeleteDavid V
sindomana mkaambiwa alokuwa serious apige sim, piga sim utapata maelezo yote hayo unayohitaji,
ReplyDeleteWaosha vinywa oyeee!
ReplyDeleteoyeeeeeeeeeeeeeeeeee
ReplyDelete