Mawaziri wa Nchi za Mamlaka ya Ziwa Tanganyika wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Tano wa Mamlaka ya Ziwa Tanganyika uliofanyika kwenye Hotel ya Lake Tanganyika Mkoani Kigoma leo.
Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Mh. John Mongella akifungua Mkutano wa Tano wa Mamlaka ya Ziwa Tanganyika,kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma. Mkutano huo umehusisha Nchi za Tanzania,Zambia,Burundi na Congo kwenye Hotel ya Lake Tanganyika
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Dk Terezya Huvisa akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Ziwa Tanganyika Bw. Dk Henry Mwima wakati wa Mkutano wa Tano wa Mamlaka ya Ziwa Tanganyika uliofanyika kwenye Hotel ya Lake Tanganyika Mkoani Kigoma. Picha na mdau Ali Meja


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...