Home
Unlabelled
MZEE YUSUF AKARIBISHWA VALENTINE'S DINNER NA KUTUNUKIWA ZAWADI NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
yote tisa haya mavyakula yetu ya kiswahili kwa gesi ni hatari 100%fat
ReplyDeletesasa swali la kizushi mbona huyo mzee yusufu anafanywa kama bwana harusi kwenye huo mnuso utasema mnuso wa harusi nayeye mzee yusufu ndio bwana harusi
haya mambo ya pwani hayo.
mmmmmmh! hiyo ilikuwa mnuso wa ukweli palipikwajeee halafu vinaonyesha vitamuuuuu
ReplyDeleteduh mijimama kama bongo, sharti ananawishwa na kufutwa kama bongo, bwana anakula kombe na manyama nyama, ndio maana marekani na uk maugomvi na kuchukuliana waume akwishi ni mitaa ya taarab, si mchezo baba ake.
ReplyDeletemnajisahau kwa fadhila za mungu...astaghfirullah..salma.....tubu ila Allah
ReplyDeleteHawa ndiyo watu wanaofaa kualikwa majumbani sio watu wa fleva. Nyie watu wa majuu mjitahidi msiwe mnaleta watu wa fleva huko kwani hata sie tumewachoka. Time is up for them!
ReplyDeleteyaani waswahili hapo mtu anaweza kuoa kisa hayo mahanjumati ,maanjumati hayaji bila pesa
ReplyDeleteHii kitu imekaa kiswahili mpaka nimechoka kabisa lol!
ReplyDeletekama wewe ni mzungu waache watu na uswahili wao.
ReplyDeletemswahili ni nani? we mwenyewe mswahili. mbona umeandika kiswahili?? huu mtindo wa kusema ati sjui " kiswahili" unaniudhi mimi huuu. mijitu inamawazo ya kitwana twanaa.. kwani kuwa mswahili ni dhambi?huu ndio utamaduni wetu na lazima tuuendeleze. Lione!.. nitakuja kumramba mtu kibao skumoja! ila kusema kweli hako kamnuso kalipendeza..sipati picha hiyo miarufu ya udi ubani hapo..tobaaa!
ReplyDeleteNdio maana waswahili hawaishi kuumwa chembe cha moyo, mivyakula yote hiyo mhhh!
ReplyDeleteKwa mtandao huu mzee yusuph lazima arudi kuoa. Shurti kwa kufutwa baada ya kunawa, eti na mdomoni?
ReplyDeleteMzee Yusuf asije akahamia, jamani na kufutwa mdomo khaa!
ReplyDeleteMzee Yusuf akihamia Marekani inakuwa poa zaidi ,si ndio mtaji wenyewe kwa sisi Watanzania atatutangaza zaidi, yeye ATAPATA LADHA MPYA HUKO ni vile atawalambisha hadi Wazungu!
ReplyDeleteItakua shwari kabisa Mzee Yusuf atakuwa amewapata wapya wabichiii wa kuwalambisha hao Wamarekani tena itafaa sana Wamarekani Weupe!
ReplyDeleteEbo!,,, mwacheni Mzee Yusuf naye ajinafasi Marekani!
ReplyDeleteNinyi hamuoni nae apate nafasi ya kula maisha kwa raha zake huku kama hivyo akizungukwa na mauwa, tena ingefaa hadi Wazungu wa huko USA, kwani nini?, anayo ya nafasi ya kupata wake zaidi sio mke!
Sasa ninyi mlitaka abaki Bongo endelee kusubiri hela ya mlangoni na kutunzwa Jukwaani DDC-Kariakoo na TRAVELTINE-Magomeni?
Acheni hizo!