Mshambuliaji hatari wa Azam FC Gaudence Mwaikimba akijaribu kuwatoka walinzi wa Simba katika mchezo wao wa Ligi Kuu ya Vodacom Uwanja wa Taifa Jumamosi ambapo Simba ilishinda bao 2-0
Hekaheka katikati ya uwanja
Kipa wa Simba, Juma kaseja akiwaongoza wanzake kushangilia baada ya kumalizika kwa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom dhidi ya Azam katika mchezo uliofanyika Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa ambapo Simba imeizamisha Azam kwa mabao 2-0. Picha na Francis Dande.
Huu ndo utamu wa Simba jamani.Msoifahamu Simba acheni tu jamani.Raha tupu Msimbazi.
ReplyDeleteMama Fredy Tabata Mawaenzi unasikia hiyo!Ukasha Mbwana wewe nyamaza tu.Said mkubwa garage Shamosama Mwananyamala mwenzio akinyolewa tia maji(Yanga).
Salamu toka UK.Simba oyee.
Issa Michuzi pole sana unashindwa kushangilia ushindi kwa kuogopa kuwaudhi wadau wako wa blog.
ReplyDeleteSasa utashangilia wapi na huku bwawa la maini wamefungwa!Weee shangilia tu msimbazi wadau watakusamehe.
Msalimie baba Zena Mawenzi mwambie sisi tunasonga mbele.Jamaa zako wanajenga jengo jipya,waambie wasijenge bondeni kama walivyofanya uwanja.Mafuriko hayo.
Tuletee matokeo ya ligi na how they stand.Si unaona magazeti yanatunyesha mambo ya mwezi ulopita.
AZAM kanga moko NDEMBE NDEMBE kueni kwanza acheni kujifunza maneno, mlivyoshinda mapinduzi mkachonga sana kiko wapi.
ReplyDeleteChezeni mpira
HONGERA SIMBA , OKWI KEEP IT UP!
Nasikia Simba walinunua mechi eti kila wachezaji wa Azam walipokuwa wanafika langoni wakawa wanapaisha ana kupiga nje mipira
ReplyDelete