Chunga Ndoa yako kwa kupata huduma hizi. Sijui kuna akinamama wanaohitaji uduma hizi? Basi kama wapo! itabidi vituo hivi vianzishwe kwa kasi kubwa huko Bongo.... 
Mdau Ughaibuni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Ahhh,nimekubali...

    ReplyDelete
  2. Shetani anaingia kwa kila style...akina mama tumekwishwa. Wanawake tupige magoti na kumlilia sana Mungu. Tuendako ni kubaya sana.

    ReplyDelete
  3. baby husbands

    ReplyDelete
  4. safi sana. sasa wapi namba ya simu? tunawapataje?

    ReplyDelete
  5. bongo mbona siku nyingi sana sie kina small house tunafanya hizo kazi tena kwa umakini mkubwa, na tunazingatia vigezo hasa hicho namba moja cha kurelax! amini usianini habari ndiyo hiyo.

    ReplyDelete
  6. Hili ni balaa lakini ni kutokana na GUBU la Mwanamke ndio linazaa vituo kama hivi.

    ReplyDelete
  7. Imerudiwa tena hii. Happy valentine.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...