Mazishi ya Marehemu Amani Mroki Majengo (66) aliyefariki mapema wiki hii katika Hospitali ya KCMC mjini Moshi yanataraji kufanyika kesho (jumamosi) kijijini kwake Ugweno Msangani, wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro.
Amani Mroki alizaliwa Msangeni ugweno mwaka 1946 na kufariki 2012 anataraji kuzika jirani na kaburi la babayake Majengo T. Nathan.
Nyote mnakaribishwa katika tafrija hii ya kumhifadhi ndugu yetu, jamaa yetu, baba yetu, kaka yetu, katika nyumba yake hadi pale atakapokuja kunyakuliwa arudipo Bwana Yesu.
Taarifa zaidi:
Loyd Atenaka: 078434482
Zakaria Ernest 0754382583
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe Mungu akupumzishe peponi tulikupenda sana ila kazi ya Mungu haina makosa
ReplyDeleteMungu akulaze mahali pema mzee...KARIBUNI KATIKA TAFRIJA....DU USOMI UKIZIDI BWANA!!
ReplyDeleteBWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA!!