BONTA ARTS PRODUCTION(STUDIO MPYA YA KISASA-MANZESE)

Inakuletea show Kabambe ya wanamuziki wake “BONTA CREW” 
na uzinduzi wa filamu zake mbili “Laghai” na “It wasn’t Me”.
Pia kutakuwa na show kubwa za wasanii wa Bongo Fleva.
Njoo jionee Vipaji  Toka Manzese Na Sehemu Mbalimbali.
 SIKU: IJUMAA
TAREHE: 17/02/2012
MUDA: Kuanzia saa 10 jioni
MAHALI: VIWANJA VYA BAKHRESSA MANZESE
KINGILIO:BUREEE!!!!!!!!!!


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. BREAKING BLOGSPOT NEWS
    HABARI ZILIZOGAA LEO AMBAZO NI ZA KUSIKITISHA NI KWAMBA WHITNEY HUOSTON AMEFARIKI DUNIA NYUMBANI KWAKE. MORE LATE ON

    ReplyDelete
  2. Duh huyu dada mwenye black sio mchezo uncle toa details plz,ze mpwa wako anataka jiko

    ReplyDelete
  3. Duh!

    Kaka unaweza kunisaidiaje nikapata kontakts za huyo binti alievaa gauni jeusi hapo?

    Da!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...