BONTA ARTS PRODUCTION(STUDIO MPYA YA KISASA-MANZESE)
Inakuletea show Kabambe ya wanamuziki wake “BONTA CREW”
na uzinduzi wa filamu zake mbili “Laghai” na “It wasn’t Me”.
Pia kutakuwa na show kubwa za wasanii wa Bongo Fleva.
Njoo jionee Vipaji Toka Manzese Na Sehemu Mbalimbali.
SIKU: IJUMAA
TAREHE: 17/02/2012
MUDA: Kuanzia saa 10 jioni
MAHALI: VIWANJA VYA BAKHRESSA MANZESE
KINGILIO:BUREEE!!!!!!!!!!
BREAKING BLOGSPOT NEWS
ReplyDeleteHABARI ZILIZOGAA LEO AMBAZO NI ZA KUSIKITISHA NI KWAMBA WHITNEY HUOSTON AMEFARIKI DUNIA NYUMBANI KWAKE. MORE LATE ON
Duh huyu dada mwenye black sio mchezo uncle toa details plz,ze mpwa wako anataka jiko
ReplyDeleteDuh!
ReplyDeleteKaka unaweza kunisaidiaje nikapata kontakts za huyo binti alievaa gauni jeusi hapo?
Da!