Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri wa Masuala ya Jumuiya ya Madola, Umoja wa Mataifa na Afrika na Mazingira ( Parliamentary Under Secretary responsible for Africa, United Nations, economic issues, conflict resolution, and climate change) wa Uingereza,Bw Hendry Bellingham wakishuhudia Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh Bernad Membe akiweka saini sambamba na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza kuhusu makubaliano kati ya nchi hizo mbili juu ya taratibu za kukabidhiana watuhumiwa wa uharamia na mali zilizokamatwa katika matukio ya uharamia katika bahari kuu leo February 23, 2012 Lancaster House, London. (PICHA NA IKULU)
Home
Unlabelled
TANZANIA YASAINI MAKUBALIANO YA KUPELEKA WASHTAKIWA WA UHARAMIA WA KISOMALI KATIKA JELA HUSIKA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
mwenzie anamuangalia yeye, membe anaangalia picha, haya bwana hicho tu kinawashinda ndiyo mtaweza kutuongoza kweli.
ReplyDeleteits funny that it is a one sided contract, because tanzania will never need uk to hand any pirates to them, but UK will need tanzania,
ReplyDeleteif you know what I mean
They should have gone to Tanzania to get that contract signed as it is for their benefit. It does not benefit us in anyway...
Hii ina maana hawa watuhumiwa watafungwa katika jela zetu???
ReplyDeletekwahio picha ya Freddy Maro unaandika nani kapiga ila picha ya vekesheni unajifanya picha na Ikulu???
ReplyDeleteKwanza niseme kuwa protokali za kupiga picha kama hii si kuangaliana, ila kuwaangalia waliopo kushuhudua utiaji sahihi kama vile wajumbe wa pande zote pamoja na waandishi wa habari. Kwa mantiki hii basi, Ndugu Membe mzee wa Mtama, was very right kuangalia upande wa picha, au wale waliokuwepo kushuhudia na bwa Hague alikosea kutowaangalia mashahidi kuonyesha kuwa, kweli tumekubaliana. Nakuombeni sana msiwe wepesi wa kurusha lawama kabla ya kuzifahamu protokali. Membe ni mwanadiplomasia aliyebobea sana. Miaka tisa akiwa Ubalozini Canada, miaka mitatu Washington, na pia akiwa anasomea masuala ya kidiplomasia pale John Hopkins alipokutana balozi wa kwanza wa korea hapa Tanzania bw jeong. Membe ni waziri wa mambo ya nje pekee aliyewahi kufanya kazi kwenye balozi zetu kama mshauri.
ReplyDeleteJifunzeni kuwa na heshima na viongozi wenu, hata kama mna tofauti. Mnapokuwa kuwa mbele ya mataifa mbali mbali, kiongozi wako hata kama hafai lazima kumpa heshima yeke.
hii nikuwakaribisha al shabaab kufanya vitu vyao tanzania sasa tujiandae ...kupokea kipigo na vile walivyokuwa wakiwafanyia kenya sasa vinakuja kwetu
ReplyDeleteaskari wa tanzania watakuwa nalakufanya pengine baada ya kusumbuwana sisi kwa sisi sasa kazi hiyoooooooo iko njiani mda sio mrefu .......kazi uliyoajiriwa sasa inakuja
wazungu mpaka leo wanatupa mikataba ya hajabu wafungwa wote wa kisomali wanataletwa katika jela za hapo bongo na itaifanya Tanzania kwa Accessible kwa ugaidi kutoka alshabab Bongo wameingizwa katika mkenge
ReplyDeleteMdau Juu wa 2 umeongea kila pointi ya ukweli tunajizalilisha tu kwa uoga, Ukoloni haujafa unajionesha ndio unarudi kwa kasi. MZ
ReplyDelete