Wapiga kura wakitumbukiza kura zao katika kituo cha Upigaji kura huko Mchangani,wananchi hao wanapiga kura kumchagua Muakilishi wa jimbo lao la Uzini kufuatia kifo cha aliekuwa Muakilishi wa Jimbo hilo Mussa Khamisi Silima.
Waandishi mbalimbali wakifanya mahojiano na Afisa wa Uchaguzi wakituo cha Mchangani,Tunduni na Mitakawani,Suluhu Ali Rashid kuhusiana na zoezi zima la Upigaji kura katika sehemu hiyo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...