Mkurugenzi Mtendaji wa Compact Media Company, Eliya Mjatt Timu (katikati) pamoja na meneja wa timu ya wanamziki wa dansi, Mwijuma Muhumini 'Kocha wa Dunia' (kushoto) wakizungumza na wahandishi wa habari jijini Dar es salaam kuhusu mechi yao ya hisani ya mpira wa miguu na wacheza filamu wa Bongo Movies kwa ajili ya kuchangia waathilika wa mafuriko jijini Dar, utakaofanyika jumapili katika uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam.kulia ni Kocha mchezaji wa timu ya 'Bongo Movies' Chiki Mchoma
Home
Unlabelled
Wanamuzi wa Dansi na Wacheza Filamu kukipiga jumapili hii
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...