Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Nc 1 hii ni kubwa kuliko.

    ReplyDelete
  2. oooh My God.... I'll take that job to. hahahahahahaha.
    Sijawahi kucheka kama leo kupitia hii media. That was funny.

    ReplyDelete
  3. yaani wee!!!!!!! michuzi acha hizo mwezio nimemwagakicheko hicho yaani wee acha tu niko Libray(Denmark) wazungu wako kimya mie Mmatumbi sina mbavu!!! nimecheka sanaaaa

    ReplyDelete
  4. U crossed the limit, Fired!!!

    ReplyDelete
  5. Duh huyu ndiye aliyesomea kazi yake hasaaaa.

    Hataki mchezo na ajira na anatimiza wajibu wake kikamilifu. Imebidi jamaa aumie rohoni na kuamua kufa na tai shingoni.

    Inachekesha na kupunguza pressure kwa kweli.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...