Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua Mradi wa usambazaji maji safi katika mji mdogo wa Bukombe akiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga jana.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Maofisa wa Gereza la Kanegele wilayani Bukombe wakati alipokwenda kwenye gereza hilo kukagua uzalishaji wa mbegu za muhogo akiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga jana.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wananchi baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Masumbwe wilayani Bukombe akiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga jana.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua asali iliyofungashwa kitalaam wakati alipowatembelea wafugaji wa nyuki katika Hifadhi ya Msitu wa Ushirombo wilayani Bukombe akiwa kayika ziara ya Mkoa wa Shinyanga jana. Kulia ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige .
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua asali iliyofungashwa kitalaam wakati alipowatembelea wafugaji wa nyuki katika Hifadhi ya Msitu wa Ushirombo wilayani Bukombe akiwa kayika ziara ya Mkoa wa Shjnyanga jana. Kulia ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Ally Nasoro Rufunga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...