Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwaaga kwa kuwapungia wananchi wa Mji Mdogo wa Maganzo baada ya kuwahutubia akiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga Februari 23, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama joko banifu kwenye jiko la shule ya sekondari ya Kishapu akiwa katika ziara ya mkoa wa Februari 23, 2012
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwaaga kwa kuwapungia wananchi wa Mji Mdogo wa Maganzo baada ya kuwahutubia akiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga Februari 23, 2012.
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kishapu wakicheza ngoma wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipofungua jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu akiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga Februari 23, 2012
Askari wa Jeshi la Jadi yaani Sungusungu wa mji mdogo wa Maganzo wakicheza ngoma yao wakati Waziri Mkuu Mizengo Pinda alipohutubia mkutano wa hadhara katika mji huo mdogo akiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga Februari 23,2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Huu utamaduni safi sana. Nguo za taifa zitokana na rangi hizo za kitamaduni sio rangi ya bendera.
ReplyDeleteNaona mtoto wa mkulima umevishwa hirizi nyeupe..sijui kazi yake ni nini hiyo sasa..isijekuwa ina vitu vya ndugu zetu wanaochinjwa huko kulikotokea maandamano juzi
ReplyDeletehaya BongoFlava tumieni creativity ku-incorporate hizi dancing style katika video zenu. Sio kila siku kucopy and kupaste dancing style za kimarekani, kisauzi, kizaire.
ReplyDelete