Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Korea Nchini, Bw. Young- Hoon Kim kabla ya mazungumzo yao Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Korea Nchini, Bw. Young - Hoon Kim, Ofisini kwake jijini Dar es salaam leo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Korea kaskazini au Kusini?
ReplyDeleteMizengo Pinda Pinda, au sio? Nimeipenda hii!!
ReplyDeleteHapa ulimwenguni Kuna Korea ya kaskazini (Pyongyang) na ile ya Kusini (Seoul).
ReplyDeleteJee, huyu balozi ni korea ipi kati ya hizo mbili?
Pinda kumbuka ki-protokali huwezi kumpa mtu mkono huku unaangalia upande mwingine (au humtazami machoni) inatafsiri ya dharau. Ni tatizo ambalo nimeli-note kwa Pinda mara nyingi. Wasaidizi wako wanapaswa kuku-train.
ReplyDeleteJamhuri ya Korea= Republic of Koera (ROK)= Korea ya Kusini.
ReplyDeleteJamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea= Democratic People's Republic of Korea (DPRK) = Korea ya Kaskazini.
Kabla ya kufungua mdomo, acheni uvivu na tumiya google. majibu sekunde mbili.