Wasamalia wema wakijaribu kumwokoa dereva wa gari aina ya Toyota Corolla, lenye namba za usajili T781 BCV, baada ya kupata ajali eneo la Ruvu Darajani mkoani Pwani na kumbana miguu ambayo yote ilivunjika.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Jamani kaka polo sana, mungu akusaidie utoke salama kwenye gari.

    ReplyDelete
  2. Ooh pole kaka, Mungu akuponye

    ReplyDelete
  3. duh pole sana bro. ila mbona gari haina airbags?

    hizi gari za model za zamani noma...

    ReplyDelete
  4. Wale Matrafiki wanaosumbua na tochi za spidi wako wapi kufanya kazi ya uhakika hapo???
    Likitokea la kweli hawaonekani. Kazi yao kutafuta rushwa ya kukamata spidi 55 mahali pa spidi 50!!! Pole mdau sijui imetokea tokeaje lakini Mw. Mungu atakuafu. Nataraji hicho kijikamba cha mkonge kitaweza kuvuta frem ya mlango ya chuma inyooke usevu!!!!!

    ReplyDelete
  5. Dahhh ndugu yetu Dereva uliyebanwa na gari ktk ajali pole Mungu akusaidie upate nafuu!

    ReplyDelete
  6. "Wasamaria wema"

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...