Ankal akila konozzzzzzz na wadau Semkae Kilonzo wa asasi ya  Policy Forum (shoto) na Isla Gilmore wa asasi isiyo ka kiserikali ya Concern walipokutana leo jijini Dar es salaam. stori kamili na picha zingine kibao baadae.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kweri kama Ni fweza hiri rijamaa Semkae rimezishika...harafu rimekuwa maarufu kweri mpaka kwa michuzi....harafu...Usire mwenyewe basi semkae....!! Mdau-NYC, USA

    ReplyDelete
  2. michuzi ndugu yangu umezeeka hivi duu ama kweli bongo bongo longtime sijakuona wangu wa daily news duu njoo uishi majuu mwangu njooo

    salaam toka switzerland
    sunday mashoka

    ReplyDelete
  3. Ankal ama kweli unakula vyako sasa,,,maana hiyo tai imefungwa kiufundi kabisa hakuna mabonde ktk shati,,,sio kama hizi zetu za mafundo ya makunjo makunjo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...