Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizunagumza na Uongozi wa Baraza la Wafanyabiashara,Wenyeviwanda na Wakulima,Zanzibar walipofika ikulu Mjini Zanzibar leo na walizungumzia masuala ya ushirikiano kati ya sekta binafsi na sekta za Umma,(wa tatu kulia)ni Rais wa Jumuiya ya wafanya Biashara na wenyeviwanda na wakulima,(Chamber) Mbarouk Omar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizunagumza na Uongozi wa Baraza la Wafanyabiashara,Wenyeviwanda na Wakulima,Zanzibar walipofika ikulu Mjini Zanzibar leo na walizungumzia masuala ya ushirikiano kati ya sekta binafsi na sekta za Umma,(wa pili kulia)ni Rais wa Jumuiya ya wafanya Biashara na wenyeviwanda na wakulima,(Chamber) Mbarouk Omar. PIcha na Ramdhan Othman IKULU.




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...