
Akiwaandikia viongozi wa Jumuia ya Watanzania (Western Australia), Balozi wa Tanzania nchini Japani anayesimamia pia Australia, Mhe. Salome T. Sijaona alionyesha furaha yake na kumtakia balozi huyu mpya mafanikio katika kuitangaza Tanzania katika nyanja za utalii.
Dr Tungaraza hivi majuzi tu aliingizwa katika Hall of Fame ya wanawake huko Australia na pia kupewa Nishani ya Uwanaharakati katika Jamii huko huko Australia.
Woow! congratulations Dada Casta!
ReplyDeleteHongera balozi wetu Dr Casta..mwenyenzi mungu akupe nguvu zaidi uendelee kujenga taifa
ReplyDelete