Gari iliyokuwa imeshehemi maguni ya mkaa,ikiwa imechomoka tairi ya nyuma maeneo ya Mlandizi mkoani Pwani na kuifanya gari hiyo kusimama barabarani hapo kwa muda mrefu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Haya ndio matokeo ya matengenezo ya magari kwa kuchomea chomea ktk Gereji za Michangani na Miembeni badala ya kununua vipuli kamili.

    ReplyDelete
  2. Bado Tz mnaharibu mazingira ya ukataji miti hai na kuchoma mkaa, wakati gasi inazalishwa nchini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...