Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Kapt Asery Msangi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe katika sherehe zilizofanyika leo asubuhi Ikulu jijini Dar es salaam
Rais akimwapisha Kapt. Paschal Kulwa Mabiti kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu
Rais Kikwete akimwapisha Mh Magalula Saidi Magalula kuwa Mkuu wa Mkoa wa Geita
Rais Kikwete akimwapisha Dkt Rajab Mtumwa Rutengwe kuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA






Mbona mikoa inazidi hivi? Instead of merging regions to save money we are creating more regions and this is burden for tax payers! That is my idea. I am sure the President has the best economic adviser for this. Wadau mnasemaje?
ReplyDeleteStrategy za 2015 Hizo!!!!!
ReplyDelete