Jokate Mwegelo akiwa na Dr AshaRose Migiro, Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayemaliza muda wake alipomtembelea ofisini kwake katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa huko New York, Marekani . Jokate yuko huko alishiriki Mkutano wa Hamsini na Sita wa Wanawake Duniani maarufu kama SCW56 akiwa miongoni mwa viongozi vijana 25 waliochaguliwa kuwakilisha bara la Afrika katika mkutano huo.
Home
Unlabelled
jokate akutana na migiro new york
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Congrats Jokate.Wema jifunze kwa Jokate plz.
ReplyDeletehuyu mdada hakusoma moshi sec kweli, any information about her
ReplyDeleteJokate looks very natural in this photo with her Twende Kilioni style. Congratulation! Hii ndiyo mitindo ya nywele inayowapendeza jamani siyo kuweka nywele za mzungu hali wewe ni mbantu.
ReplyDeletekasuka 'TWENDE KILIONI bin UTII WA RODA" LOL!
ReplyDeleteMpeni Hongera Mwenzenu, Mimi nampongeza, kuponda hakujengi jamani.
ReplyDeletehongera Jokate, Mungu akubariki zaidi.
Hongera dada mungu azidi kukubariki
ReplyDeleteJokate ,Jokate ,Jokate Juu,Juu Juu!!!
ReplyDeleteHongera Mzuri, Mkali wa Usichana na Ulimbwende usiyechuja!
Jokate umetumia ujuzi gani kufikia hapo hadi sasa?,,,Je, wenzio mliokuwa wote kipindi kile ni vipi kwa sasa hali zao?
Jokate ni jukumu lako sasa kutoa Semina kwa Wasichana wa Dada na Mama zako wanojihisi bado wamo,,,umwape mafunzo ya kuupata Uzuri asilia kama ulivyo wewe!
1.Hakuna sababu kuvaa manyoya ya Farasi kichwani na kufanya ndio nywele za Binaadamu!
2.Waeleimishe waoge kwa Madodoki kutumia vianzo asilia kama Matango,Makwaju,Maparachichi na Mafuta ya nazi kwa ngozi nyororo!
3.Imetosha kumnufaisha Mchina kwa faida anayofanya kwa mauzo ya Kope bandia,Nyusi bandia, Kucha bandia Mapaja na MAKALIO !
Imefikia sasa kwa wanaotaka kuchumbia inakuwa vigumu kumpata Mwanamke Mzuri wa Asilia kwa vile kila Mwanamama ni Mzuri kwa uzuri bandia!
Labda umwahi mtu Alfajiri kwao akitoka usingizini kabla hajanawa uso na kukaa ktk kioo ndio utagundua uhalisia wake kwa uzuri!
Gharama na tabu wanazopata kwa Ukarabati na Marekebisho hayo bandia ni dalili za kutojiamini vile walivyo!
WAELEWESHE LA ZAIDI WAJIFUNZE KUJIAMINI NDIO MHIMILI WA UZURI!
Hongera sana and keep up the good work...wonder why it takes so long for some people to learn from you.
ReplyDeletehuyu mtoto wa Dar, Secondary alisomea St. Anthony's mbagala!
ReplyDeleteEducation is sexy!!! bila shule angekuwa kama ubaya ambaye ana issuees kila kukicha shughuli ya maana hamna. Congrats Jokate!!!
ReplyDeleteHongera dada ni mfano mzuri wa kuigwa
ReplyDeleteTena umependeza Jokate Maashallah!
ReplyDeleteNatural beauty hamna kuchakachua, hongera sana.
Hongera sana mdogo wangu Jokate! Huu ni mfano mzuri wa kuigwa na mabinti wa TZ. Mtegemee Mungu na atakuinuia zaidi ya hapo! Be blessed.
ReplyDeleteHONGERAA,KWELI WEWE HUKUSOMA INTERNATIONAL SCHOOL OF TANGANYIKA?SAFI SANA.
ReplyDeleteHa ha twende kilioni zimewakuuuna,watu mnaproblem bin issues.
ReplyDeleteHongera jkt wewe ni kichwa tangu zamani.
Ila hawajui kama huwa unaweka weaves pia.