Jokate Mwegelo akiwa na Dr AshaRose Migiro, Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayemaliza muda wake alipomtembelea ofisini kwake katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa huko New York, Marekani . Jokate yuko huko alishiriki Mkutano wa Hamsini na Sita wa Wanawake Duniani maarufu kama SCW56 akiwa miongoni mwa viongozi vijana 25 waliochaguliwa kuwakilisha bara la Afrika katika mkutano huo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Congrats Jokate.Wema jifunze kwa Jokate plz.

    ReplyDelete
  2. huyu mdada hakusoma moshi sec kweli, any information about her

    ReplyDelete
  3. Jokate looks very natural in this photo with her Twende Kilioni style. Congratulation! Hii ndiyo mitindo ya nywele inayowapendeza jamani siyo kuweka nywele za mzungu hali wewe ni mbantu.

    ReplyDelete
  4. kasuka 'TWENDE KILIONI bin UTII WA RODA" LOL!

    ReplyDelete
  5. Mpeni Hongera Mwenzenu, Mimi nampongeza, kuponda hakujengi jamani.
    hongera Jokate, Mungu akubariki zaidi.

    ReplyDelete
  6. Hongera dada mungu azidi kukubariki

    ReplyDelete
  7. Jokate ,Jokate ,Jokate Juu,Juu Juu!!!

    Hongera Mzuri, Mkali wa Usichana na Ulimbwende usiyechuja!

    Jokate umetumia ujuzi gani kufikia hapo hadi sasa?,,,Je, wenzio mliokuwa wote kipindi kile ni vipi kwa sasa hali zao?

    Jokate ni jukumu lako sasa kutoa Semina kwa Wasichana wa Dada na Mama zako wanojihisi bado wamo,,,umwape mafunzo ya kuupata Uzuri asilia kama ulivyo wewe!

    1.Hakuna sababu kuvaa manyoya ya Farasi kichwani na kufanya ndio nywele za Binaadamu!

    2.Waeleimishe waoge kwa Madodoki kutumia vianzo asilia kama Matango,Makwaju,Maparachichi na Mafuta ya nazi kwa ngozi nyororo!

    3.Imetosha kumnufaisha Mchina kwa faida anayofanya kwa mauzo ya Kope bandia,Nyusi bandia, Kucha bandia Mapaja na MAKALIO !

    Imefikia sasa kwa wanaotaka kuchumbia inakuwa vigumu kumpata Mwanamke Mzuri wa Asilia kwa vile kila Mwanamama ni Mzuri kwa uzuri bandia!

    Labda umwahi mtu Alfajiri kwao akitoka usingizini kabla hajanawa uso na kukaa ktk kioo ndio utagundua uhalisia wake kwa uzuri!

    Gharama na tabu wanazopata kwa Ukarabati na Marekebisho hayo bandia ni dalili za kutojiamini vile walivyo!

    WAELEWESHE LA ZAIDI WAJIFUNZE KUJIAMINI NDIO MHIMILI WA UZURI!

    ReplyDelete
  8. Hongera sana and keep up the good work...wonder why it takes so long for some people to learn from you.

    ReplyDelete
  9. huyu mtoto wa Dar, Secondary alisomea St. Anthony's mbagala!

    ReplyDelete
  10. Education is sexy!!! bila shule angekuwa kama ubaya ambaye ana issuees kila kukicha shughuli ya maana hamna. Congrats Jokate!!!

    ReplyDelete
  11. Hongera dada ni mfano mzuri wa kuigwa

    ReplyDelete
  12. Tena umependeza Jokate Maashallah!

    Natural beauty hamna kuchakachua, hongera sana.

    ReplyDelete
  13. Hongera sana mdogo wangu Jokate! Huu ni mfano mzuri wa kuigwa na mabinti wa TZ. Mtegemee Mungu na atakuinuia zaidi ya hapo! Be blessed.

    ReplyDelete
  14. HONGERAA,KWELI WEWE HUKUSOMA INTERNATIONAL SCHOOL OF TANGANYIKA?SAFI SANA.

    ReplyDelete
  15. Ha ha twende kilioni zimewakuuuna,watu mnaproblem bin issues.
    Hongera jkt wewe ni kichwa tangu zamani.
    Ila hawajui kama huwa unaweka weaves pia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...