Home
Unlabelled
kama kawa kama dawa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwa upumbavu wao, wanasema sheria zimewekwa ili zivunjwe (ili wasababisha ajali na vifo). Je ni lini watu watajitambua na kutambua madhara ya maamuzi yao?
ReplyDeleteni nani aloweka tangazo hilo, halmashauri ya jiji, polisi wa barabarani au mwenye duka? kwa ilivyokaa inaonyesha kama vile ni mwenye duka na kwa hivyo hakuna kosa kabisa kusimamisha gari hapo
ReplyDeleteKIBAO KIWEKWA NA NANI?KINAONYESHA WAPI/MAGARI YA UPANDE UPI YASISIMAME?LAKINI HATA HIVYO HAPO KOSA NI NINI?MBONA HAJASIMAMA KWENYE KIBAO?HAPO PENYE KIBAO NDIO HAPATAKIWI KUSIMAMISHA GARI. KWAHIYO DEREVA KWAKUWA NI GENIOUS AMESIMAMISHA PASIPO NA KIBAO...KOSA NINI HAPO WADAU?HAHAHAHA BONGO RAHA BWANA HAKUNA STRESS KAMA ULAYA
ReplyDeleteMdau Bongo raha, ndio sababu tunakufa sana kwenye ajali ambazo zingezuilika. KUTA KUFUATA SHERIA NI KOSA. KAMA MWENYE DUKA NDIO ALIOWEKA KIBAO, NI JUKUMU LA HALMASHAURI YA JIJI KUONDOA HICHO KIBAO. ULAYA AJALI NI CHACHE UKIZANGATIA WINGI WA MAGARI YAO.BONGO AJALI NYINGI NI UZEMBE WA MADEREVA, NDIO MAANA KUONDESHA BONGO NI KUGUMU SANA KUPITA ULAYA. AJALI ZA BONGO, MADEREVA HAWAFATI SHERIA.MPAKA LEO,MFANO KUNA MLIMA NA MTU ANAPITA GARI WAKATI ANAJUA MBELE HAONI.KILA SIKU INATOKEA,NADHANI SERIKALI INAJUKUMU PIA LAKUWAPA SEMINA MADEREVA.KUTOA ADHABU KALI KWA KUSABISHA ADHABU.HUU NI USHAURI WANGU.
ReplyDelete