Kamanda wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani Tanzania, SACP, Mohammed Mpinga akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu mikakati mbalimbali waliyopanga kupunguza matukio ya ajali nchini. Kushoto ni Ofisa Mfawidhi wa  Kikosi hicho, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Johansen Kahatano.


Kamanda wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani Tanzania, Mohamed Mpinga akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu mikakati mbalimbali waliyopanga kupunguza matukio ya ajali nchini. Kulia kwake ni Ofisa Mfawidhi wa  Kikosi hicho, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Johansen Kahatano.


Ofisa Mfawidhi wa  Kikosi hicho, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Johansen Kahatano akifafanua jambo mbele ya wanahabari


 Baadhi ya maofisa wa kikosi hicho wakisikiliza kwa makini wakati SACP, Mpinga akizungumza


                                             Wanahabari wakiwa kazini wakati wa mkutano huo 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Jamani namzimia kamanda mpinga, hata akiongea kwenye vyombo vya habari anaongea kama askari mkakamavu sio maofisa wengine mtu anajivuta na kujiona ni bosi fulani na kuongea kama mtu mwenye mamlaka makubwa kuliko IGP bila kufikiri kuwa wanapoteza muda wa airtime. Nawashauri mapolisi wabadilike kwenye kuongea waongee kikakamavu sio kurembaaaaaaa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...