Kamanda wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani Tanzania, SACP, Mohammed Mpinga akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu mikakati mbalimbali waliyopanga kupunguza matukio ya ajali nchini. Kushoto ni Ofisa Mfawidhi wa Kikosi hicho, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Johansen Kahatano.
Kamanda wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani Tanzania, Mohamed Mpinga akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu mikakati mbalimbali waliyopanga kupunguza matukio ya ajali nchini. Kulia kwake ni Ofisa Mfawidhi wa Kikosi hicho, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Johansen Kahatano.
Ofisa Mfawidhi wa Kikosi hicho, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Johansen Kahatano akifafanua jambo mbele ya wanahabari
Baadhi ya maofisa wa kikosi hicho wakisikiliza kwa makini wakati SACP, Mpinga akizungumza
Jamani namzimia kamanda mpinga, hata akiongea kwenye vyombo vya habari anaongea kama askari mkakamavu sio maofisa wengine mtu anajivuta na kujiona ni bosi fulani na kuongea kama mtu mwenye mamlaka makubwa kuliko IGP bila kufikiri kuwa wanapoteza muda wa airtime. Nawashauri mapolisi wabadilike kwenye kuongea waongee kikakamavu sio kurembaaaaaaa.
ReplyDelete