Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Nakubalina na mtangazaji,kuwa kuna blogers wengine ni mazaga zaga,nimeona blog inayoitwa "UTAMU WA NGOMA" globu hii imeweka picha za wanamziki bila ridhaa yao,nimeona picha ya juu kabisa ni ya mmenuangaji
    wa Ngoma afrika band(FFU),wenyewe hawana habari,pia kuna picha za "Msondo Ngoma band" zote hizi zipo bira ya ridhaa ya wasanii,tahasisi ya Blog lazima itupiwe jicho

    ReplyDelete
  2. Jide,ni mahakama tu ndiyo yenye uwezo wa kudhibitisha kuwa huyo binti ni mwizi,pili,unapotuambia tukubaliane na wewe kuwa huwa hutaki hawa watu nyumbani kwako una maana gani,wewe ni nani mpaka sisi tulazimike kukubaliana na wewe kutopenda hao watu kwako,kama huyo msichana wako wa kazi hakuwa na tabia nzuri ,ni huyo na si wote familia nyingi tu hapa kwetu wakimkosa binti wa kazi familia inayumba,iweje wewe utuambie tukubaliane na wewe??????!!! kwanza huna mna mtoto binti wa kazi ulimtaka wa nini?? subiri upate huyo mtoto maana nasikia u mjamzito ndipo utakapoona umuhimu wa wasichana wa kazi.Na tena Mungu akujalie mapacha sita,tuone kama utaendelea kutuandikia utumbo kama huo,mwogope Mungu,tubu mara moja kama kweli we ni mcha mungu,ungesema kwamba hupendi mtu mwizi kwako sawa ,na kama atajikojolea selo wewe utafaidika na nini sasa,watu wangapi wameibiwa vitu na hawajachukua maauzi kama haya ??? Mungu kakubariki na vingapi wewe???!!!Mwogope Mungu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...