Wananchi wakiwa wamekaa kistaarbu huku wakimsikiliza kwa makini mgombea wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari  (chini) katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika jana kijiji cha Reguruki, jimbon humo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mbunge wa CCM anakaribia kuapishwa!

    CDM mjiandae kujaza form za Mikopo ya SACCOS ili mrudi ktk Ujasiriamali baada ya kushindwa ktk Uchaguzi wa Siasa!

    ReplyDelete
  2. Chadema mlisimamisha Biashara zenu muda mrefu nyuma tokea Uchaguzi Mkuu October 2010 kwa ajili ya Ruzuku za Uchaguzi.

    Mnatakiwa muandae Leseni zenu za bisahara zilizokwisha muda wake ili mrejee kwenye Biashara zenu baada ya kushindwa Uchaguzi Mdogo Arumeru Mashariki !

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...