Mbunge wa Jimbo la Ubungo(CHADEMA)Mh John Mnyika akitoka mahakamani,nyuma ni wakili anayenitetea, Bw. Mbogolo
 Wakili Wa Mbunge wa Ubunhyo(CHADEMA)Bw. Mbogolo akiwa anatoka akimsabahi Mshtaki, Bi. Hawa Nghumbi (CCM) Jana Jijini Dar es SALAAM
 "Nguvu ya Umma......Peoples Power!!""Sauti ya watu, sauti ya MUNGU"Jana Jijini Dar es Salaam
Munge wa Ubungo(CHADEMA)Mh John Myika(wa Nne Kulia)akitembea kutoka mahakamani kwenda ofisini Ubungo na wananchi waliofika mahakamani "A walk from Court to Office" jana jijini Dar es Salaam.
Picha na Habari Zimeletwa na John Mnyika(MB)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Huyu Bwana Mdogo John aachwe tu aendelee na yeye Bi Mkubwa Hawa atafutiwe angalau shughuli ya kufanya ili apoteze muda na kuwa itatugharimu walipa Kodi kwa suala lao !

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...