Home
Unlabelled
Mbuzi Wakivuka Barabara maeneo ya Kinondoni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duh! Kali ya mwaka hii.
ReplyDeletebeautiful mbuzi
ReplyDeleteOooh,serikali ijenge haraka iwezekanavyo fly over maana bila hivyo msongamano jijini itakua balaa.
ReplyDeleteDu mbuzi mpaka kinondoni sijui wanapata wapi majani na mbolea yao inatupwa wapi. Kweli kazi tunayo watu wa Town planning
ReplyDeleteMwenye mbuzi awajibike/awajibishwe. Kufuga ng'ombe,mbuzi, kuku, mjini ni kero na kuleana leana ndiko kunakotufanya tuishi bila ustaarabu. Kitu kikiwa mahali pasipo pake ni uchafu,hao mbuzi hapo walipo ni uchafu, kero.Tubadili namna ya kufikiri.
ReplyDeleteSoon itakuwa kama India, usishangae tukianza kufukuzana na tembo, chui, swala barabarani mjini!!!
ReplyDelete...ha ha haaaa...soon tutaanza kufukuzana na swala, chui, tembo na wanyama wengineo katika barabara zetu mijini kama tupo India vile!!!
ReplyDeleteHicho ni kizazi cha mbizi toka miaka ya 70 mwishoni chinja mmoja uone balaa lake wakazi wa kinondoni twawafahamu hao sio mbuzi hao! we jipendekeze chinja siku ya pasaka!
ReplyDeletewatoto wamjini na wao waone mbuzi, wasije wakawa kama watoto wa ulaya. Mbuzi anamwona zoo??????
ReplyDeleteToka nimefika USA sijawahi kuona mbuzi, kuku ng'ombe, wala kiti moto wakitembea barabarani. Lakini ukienda supermarket utakuta nyama kibao. Nimefurahi sana kuwaona mbuzi japo katika picha.
ReplyDeleteHawa mbuzi wote weupe...hawa ni wadawa nini kama njiwa weupe....
ReplyDeleteHao ni mbuzi wa halbadiri, tahadharini musije kuwachinja yakawafika ya kuwafika.
ReplyDeletehizo fly over zitapita wapi? mji ulishakosewa plan, cha msingi jiji liendelezwe nje mfano mbezi mbele huko au mbagala mbele huko, vikindu nk. Tusahau posta, kariakoo, huwezi pitisha fly over huko, itakuwa ni uwenda wazima kama si uwenda kichaa.
ReplyDeleteBila shaka, ,iyo ni zebra special kwa mbuzi,,hahahaha
ReplyDeletewazee hao mbuzi wanapatikana kinondoni mita ya kaburini .serekali yenyewe inaogopa kuwatoa kwa sababu hao mbuzi ukimchukua tu hata moja. unapoteza maisha yako hawana mmiliki wana ishi hapa makaburi ya kinondoni. kama huamini nacho kuambia njoo mchukue mmoja afu utaona wanavyo dai wazawa mbuzi hao mmiliki wake alisha fariki lakini kuna maneno aliwanenea kwa hiyo mtu akiwachukua lazima afe. serekali ya mtaa wa huku wanalifahamu hilo ndio mana hakuna hata mtu mmoja anesubutu kuwa chukuwa mateja wapo hapa manyanay wao wenyewe wana ogopa .siku pita manyaya afu mulize teja yoyote kwanini usmchukue hawa mbuzi ukauze au uchinje utaskia jibu lake
ReplyDelete