Mhe. Angellah Jasmine Kairuki (wa sita toka shoto mstari wa kati) kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa majumbani ambao walishiriki katika Warsha iliyoandaliwa kwa ajili ya wafanyakazi wa majumbani ili kuwaelimisha haki zao kwa mujibu wa Sheria za Kazi na Mahusiano Kazini ya Mwaka 2004 na Mkataba wa Kimataifa wa Shirika la Kazi Duniani Namba 189 wa Mwaka 2011 unaohusu wafanyakazi wa majumbani. Warsha hii ilihusisha wafanyakazi wa majumbani kutoka katika maeneo tofauti ya jijini Dar es Salaam.
| Mheshimiwa Angellah Kairuki alipokuwa akitoa hotuba ya kufungua Warsha hiyo iloofanyika ukimbi wa Msimbazi Centre jijini Dar. |


Tunahitaji kuheshimu mchango wa kila mtu katika ujenzi wa nchi hizi kazi kuna watu hawawezi kupata na dgree zao katika nchi za ulaya na marekani, tafadhalili watanzania tuache kunyanyapaana hasa kutokana na viwango vya elimu. Elimu ni nafasi namara nyingi sio kushindwa kutumia nafasi.
ReplyDelete