Baadhi ya Maafisa waandamizi wa Jeshi la Polisi wakiwa katika mkutano wao Mkuu wa Mwaka leo katika Chuo cha Polisi Mjini Moshi mkoani Kilimanjaro uliofunguliwa na Rais Kikwete.
Home
Unlabelled
MKUTANO MKUU WA MWAKA WA MAAFISA WAANDAMIZI WA JESHI LA POLISI, CHUO CHA POLISI MOSHI, LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
handsome boys ila punguzeni vitambi
ReplyDeleteKama kufuatilia watu wanaopata kipato "cha pembeni" kisio rasmi bali na shahara, jambo hilo ni rahisi sana. Kwanza angalia wenye vitambi, pili angalia wenye majumba mazuri yenye gharama isioelezeka, tatu angalia magari wanaotembelea au/ magari wanayofanyia biashara, ama teksi au madala dala. Kama kweli tuko sirias tunataka kutoa maovu nchini anzeni kwa wale wanao simamia sheria na haki za wana nchi, sio wenye nchi tuuu.
ReplyDelete