Balozi wetu Afrika Kusini Mh Radhia Msuya akisalimiana na Bw. Omar Mjenga, Mwakilishi Mkaazi wa Ofisi ya Umoja wa Kimataifa inayosimamia miradi nchini Sierra-Leone (UNOPS), alipomtembelea ofisini kwake jana.
Bw. Omar Mjenga (kushoto), Mwakilishi Mkaazi wa Ofisi ya Umoja wa Kimataifa inayosimamia miradi nchini Sierra-Leone (UNOPS) akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Balozi Radhia Msuya (wa pili kushoto), Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini na maafisa wa Ubalozini, Bi. Naseem Ibrahim (wa pili kulia) na Bw. Robert Kahendaguza (kulia).
mmh. Special Rep? mmh
ReplyDeleteAssalama Leko zako Mdau Omar Mjenga wa UN!
ReplyDeleteInshallah Mwenyezi Mungu akuzidishie!