Mjasiliamali Ernest Kessy Mkurugenzi wa METRO TIRE iliyopo Baltimore : Je kuanzisha Biasahara Marekani kunahitaji kuwa na makaratasi? MSIKILIZE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Kwa ufupi umepiga box mbali mbali na hata hiyo elimu yako ya CBE hukutumia. Ingawa kwa vile una elimu umeweza kutumia akili na kuendelea na mambo ya biashara.

    ReplyDelete
  2. Ndugu Kessy hongera saana...I think umefanikiwa kwa sababu una sema ukweli, especially kuhusu hali yalisi ya maisha hapa marekani na immigration in general. Mungu abariki biashara yako na ninategemea utaendelea saana Meku.

    ReplyDelete
  3. Pongezi nyingi kwa vijimambo,kwa kuaendesha mahojiano kwa lugha yetu safi na kufisha ujumbe madhuti kwa watu wote wanaoelewa kiswahili

    Uncle Michuzi asante kwa kutuhabarisha pia,hii ni ni mara yangu ya pili kuangalia vijamabo humu kwenye "blog ya jamii." Ninachoomba Salama Jabir,aangalie mahojianao ya hayo,ajifunze kitu.Huyu anayefanya mahojiano yuko Marekani,lakini ananamuhuoji mtu kwa lugha ya kiswahili mwanzo mwisho,nilifikiri huyo jamaa anagechanganya sana kiswahili na kizungu. Lakini ameweza kujilinda na hiyo hali mpaka mwisho,hata hayisye enda shule kama mimi nafurahia kusililiza.

    Mikasi wanatuchanganya sana kuchanganya lugha mbili ktk mahojianao yao,wakati mwingine sielewi kwa nini wanafanya hivyo?Naomba watumie lugha moja kama wanweza ,sio lugha mbili ktkt mahojianao amabayo wengi tunataka tujue kile kinachozungumzwa.

    ReplyDelete
  4. Haya ni mahojiano ya pili naangalia ya Vijimambo. Mahojiano ni mazuri, ila tu yataboreka zaidi kama muuliza mwaswali atafanya udadisi wa muulizwa maswali na kundaa kwa kina maswali ya kuuliza kabla hawajakutana, ili asiwe anajiuma uma na wakati mwingine kuonekana anarudia swali moja kwa njia tofauti.

    Asanteni

    ReplyDelete
  5. Hongera Erbest Kessy :

    Umewapa mwamko wa Kujiamini nduguzo Wabongo Ughaibuni kwa kuwaeleza kuwa Ujasiriamali huko unawezekana pia badala ya kubebeshwa mabox mgongoni na Wazungu, kwa vile hata kama upo nyumbani Bongo ukifanya mchezo utakaa ktk Kibarua cha MHINDI hadi kifo kama hutakuwa na mwamko wa kujitegemea kikazi!

    Kwa hivyo kupiga box Ughaibuni inawezekana kuwa sasa basi !

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...