Trent wametangaza nafasi 12 za watu wenyekutaka PhD full scholarship... site ni hiyo kwa mtu yeyote anayetaka Vice-Chancellor's PhD Bursary Scheme 2012 |
Home
Unlabelled
Nondozzzzzz nje nje za Full ride Phd Scholarships
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Elimu KWANZA!
ReplyDeleteSawa hii imekaa vizuri!!!!!
Hawa watu wanasumbua sana, even if you are qualified and granted the Scholarship. Visa zao zinakua tatizo jingine...Wakenya fanya makusudi kwa watanzania. I am very sad that our Government allows this process of processing our UK Visa in Kenya. I think it is Rubbish.
ReplyDeleteMdau wa pili juu Anonymous wa Thu Mar 22, 09:29:00 AM 2012
ReplyDelete''Tanzanians for UK Visa in Kenya''
Nakuunga Mkono ni wakati sasa imetosha sisi Watanzania kukokotwa na Uingereza kama Punda wa kulima shambani na kamba ya Puani!
KAMA WAO WANATAKA SISI VISA ZIWE PROCESSED KENYA , NA SISI TUTAWAAMURU WAJE TANZANIA KWA KUOMBA VISA KUPITIA UBALOZI WETU NCHI YA JIRANI YAO KAMA UJERUMANI AU UHOLANZI AU KAMA WATAKUJA BILA VISA WAPITIE KENYA KWANZA HALAFU NDIO WAINGIE TANZANIA.
TUSIWE WATU WA KUJIRAHISI KWA MWINGEREZA KILA KITU NDIO NDIO,YES YES, MUDA WOTE TUPO MIKONO NYUMA!
Wanatupangia Mashariti ya ajabu sisi kila kitu tunakubali tu!.
TULISHAPATA UHURU KUTOKA KWAO TOKEA MWAKA 1961 MIAKA 50 ILIYOPITA INABIDI TUHESHIMIANE SASA.
DIPLOMASIA NI MCHEZO WA UPINDE KWA UPINDE, MKUKI KWA NGURUWE KWA BINAADAMU MCHUNGU !
UK Visas:
ReplyDeleteKtk Balozi zenye kututweza sisi Watanzania ni hawa jamaa Ubalozi wa Unigereza na Ubalozi wa Marekani!
Kwanza kabla ya kuomba visa yao kujaza fomu zao kunawapa watu ajira ya bureee, ni kazi kweli kweli ni ngumu kwa mtu asiye na ujuzi wa Komputa/ au asiyesoma(Eliterate), pia ada ya Visa ni ghali wakati uhakika wa visa kupata hakuna na fedha hairudishwi ukikosa visa!
Hawa jamaa UK na USA kama wanatuletea upuuzi wao wa mpaka fomu za visa kuwa ngumu kujaza kwa Jamii ya Watanzania kwa ada wanayotoza ilitakiwa Waajiri Makarani kwa kazi hiyo,,,WASITULETEE UPUUZI KABISA, KWA KUWA KTK JAMII YETU TANZANIA MIONGONI MWA WASAFIRI WA KWENDA KWAO TUNAO WASIO NA ELIMU (ELITERATES-WASIOJUA KUSOMA NA KUANDIKA AU KUTUMIA KOMPUTA) YA KUWEZA KUJAZA FOMU ZAO KWA MTANDAO, WALEMAVU NA WATOTO WADOGO...KITU AMBACHO HATA WAO KTK JAMII ZAO WANAO WATU WA MAKUNDI HAYO HAPO JUU.