Mganga mkuu wa mkoa wa Arusha Dkt Frida Mokiti akiwa anapima afya yake wakati wa siku ya upimaji bure iliyoandaliwa na NSSF inayofanyika katika kiwanja cha sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo
Upimaji afya ukiendelea
Viongozi wa NSSF wa mkoa nao wanaelekea kupimwa afya zao.
Picha na Woinde Shizza wa Globu ya Jamii, Arusha





Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...