Orodha ya Mawakala watakao andaa masshindano ya urembo ya Redds Miss Tanzania 2012.
Orodha hii imegawanyika kama ngazi ya Mikoa, Kanda, Wilaya na Elimu ya Juu kama ifuatavyo:-
Idadi ya Mikoa ni 22
Kanda ni 11
Wilaya 12
Elimu ya Juu 7
Vituo vya Mkoa wa DSM ni 9
Mawakala wote hao waliotajwa hapo juu, ukitoa Mawakala wa Wilaya, watashiriki katika semina ya Mawakala ambayo imepangwa kufanyika mapema wiki ijayo. Kupata orodha Kamili BOFYA HAPA
Lundenga
HASHIM LUNDENGA.
MKURUGENZI.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...