Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitazama chombo wanachotumia wanachuo kujifunza matengenezo ya umeme wa magari wakati alipofungua chuo cha Mafunzo ya Ufundi (VETA) cha mkoa wa Pwani kenye eneo la Kongowe , Kibaha leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Korea Kusini Nchini, Bw. Young Hoon Kim baada ya kufungua Chuo cha Mafunzo ya Ufundi (VETA) mkoa wa Pwani kwenye eneo la Kongowe leo. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...