MAREHEMU MATHIAS TANGANYIKA NZWILA
Alizaliwa              Amefariki
24/04/1964        08/03/2011

Familia ya Ndugu TANGANYIKA iliyopo calfonia Nyegezi Mwanza inapenda kutoa shukrani zao za dhati kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki na wale wote walioshirikiana nao katika kipindi chote cha majozi ya kufiwa na Baba yao mpendwa MATHIAS TANGANYIKA NZWILA aliyefariki tarehe 08/03/2011 huko BUGANDO – MWANZA na baadaye kwenye ibada ya mazishi iliyofanyika Nyumbani kwao NYAMENGELE – KWIMBA.

Kwa vile siyo rahisi, kumshukuru kila mmoja, tunapenda mpokee shukrani zetu kwa moyo mkunjufu. Hatuna cha kuwalipa, ila Mungu awabariki na kuwazidishia moyo wa ushirikiano na upendo.

AMEN

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Poleni sana, sasa hpa sijaelewa vizuri. Hii ni kumbukumbu ya baba yetu ama ni msiba? maana tarehe ya kuzikwa inanichanganya na maelezo ya shukrani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...