Banda la TTB lilivyokuwa likionekana wakati wa maonesho haya Bodi ua Utalii Tanzania iliratibu vyema maonesho ya utalii yaliyofanyika nchini ujerumani katika jiji la Berlin kuanzia tarehe 7 – 11 Machi 2012. Maonesho ya ITB ndio maonesho makubwa duniani yanayowakutanisha wafanya biashara za utalii duniani.Jumla ya makampuni 59 toka Tanzania ziliweza kuhudhuria kati ya hizi kampuni 31 zilikuwa ni zinazojihusisha na mahoteli (hotel, appartments), kampuni 24 zinazohudumia watalii (tour operatos) na kampuni nne, 39 ndege (Airline carriers) Katika maonesho haya Bodi ya Utalii iliwaza vyema kutengeneza utalii ambao ni hazina kubwa kwa nchi ya Tanzania.
Baadhi ya wafanyabiashara za utalii toka Tanzania wakiuza bidhaa za Tanzania.
Hawa ni washindi wa mashindano ya watu wenye mustachi yaandi ndeve ndefu zaidi duniani kama wanavyoonekana walipotembelea banda la Tanzania.
Baadhi ya wajumbe toka Tanzania wakiwa na baadhi ya waalikwa mbalimbali waliotembelea banda la Tanzania. Hapa wanaonekan baadhi ya washiriki.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...