
Mgombea wa jimbo la arumeru(CHADEMA) Joshua Nassari akinadi sera zake kwenye mkutano wa kampeni ya CHADEMA jana kwenye kijiji cha Ambureni

Mtoto mdogo akiimba utenzi kumwombea kura Nasari wa CHADEMA

Wanakijiji wakiikaribisha helkopita ianyotumiwa na CHADEMA ilipokuwa ikitua eneo la mkutano Ambureni

Sehemu ya umati wa wankijiji cha Ambureni Arumeru mashariki wakisikiliza mkutano wa CHADEMA jana.Picha na Jackson Makala
Kama CHDM mnadai kuwa Mbunge aliyepita wa CCM hakufanya kitu Arumeru Mashariki kabisaaa,
ReplyDeleteSasa kwa nini ninyi msitumie hela za mafuta ya Helikopta (mliyoazimwa sio ya kukodi) kurekebisha maendeleo yaliyopungua ndani ya siku hii ili muweze kuwaomba Kura Wananchi ?